Halmashauri ya wilaya ya Kilombero inakodisha ukumbi kwa ajili ya sherehe na mikutano, ukumbi upo Kibaoni eneo la Bomani katika mji wa Ifakara,
Ukumbi una uwezo wa kuhudumia watu 200 - 250 ,huduma ya viti pia inapatikana
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa