Kwa wananchi wote,
Madaktari wa Good Samaritan watatoa huduma mbalimbali za Afya katika kijiji cha Ichonde, siku ya Jumatano tarehe 12/09/2018,hivyo basi wananchi wote wa kijiji cha Ichonde na vijiji vya jirani mnatakiwa kufika kwenye kijiji cha Ichonde bila kukosa ili kuweza kuangalia afya zenu na kupata dawa.
NYOTE MNAKARIBISWA
Kibaoni Ifakara Morogoro
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa