AFISA UTUMISHI wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, ndugu Abdul Mbimbi, anawatangazia wafanyakazi na watendaji wote kuwa kuna mtu anawapigia watumishi wa Kilombero, kupitia namba 0758091150, na kujitambulisha kama Afisa Utumishi na kuwajulisha kuwa anatoa msaada kwa watumishi kwenye masuala ya Promotion, pesa za uhamisho na ajira.
mtu huyo ni muongo na ni tapeli na anatakiwa kuepukwa na kwa namna yoyote ile Halmashauri haitahusika na udanganyifu huu
Tafadhali upatapo ujumbe huu wajulishe na wengine
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa