Wednesday 24th, April 2024
@Kibaoni
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuja kutembelea Halmashauri ya wilaya ya Kilombero tarehe 18/07/2019 ambapo ataweka jiwe la msingi kwenye ofisi mpya ya Halmashauri ya wilaya ya Kilombero iliyopo bomani kabla ya kuelekea kiberege kuzindua mradi wa maji.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa