Thursday 25th, April 2024
@Kiberege
Mwenge wa uhuru unatarajia kufika tarehe 5/8/2019 na kuzungukia miradi yote iliyopangwa ndani ya Haklmashauri ya Wilaya ya Killombero na baada ya hapo kukesha katika kata ya Kiberege na ifikapo tarehe 6/8/2019 utasindikizwa hadi katika mpaka unaotenganisha Kilombero na Ulanga (Daraja la Magufuli) ili kuukabidhisha katika Halmashauri ya wilaya ya Kilombero.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa