Wanafunzi wa shule za msingi wakitumbuiza katika kilele cha wiki ya elimu Halmashauri ya wilaya Kilombero mbele ya mgeni rasmi
Katibu tawala wilaya ya Kilombero akikagua maonesho ya dhana za kufundishia yaliyoandaliwa na walimu wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki la elimu
Katibu tawala Kilombero akikabidhi zawadi kwa shule zilizofanya vizuri katika mitihani mbalimbali kwa shule zilizopo ndani ya halmashauri ya wilaya Kilombero
Walimu wakielezea jinsi ya kufundisha kwa kutumia dhana za kufundishia ilimkuongeza uelewa kwa wanafunzi
Mwakilishi wa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kilombero akipokea maagizo ya kuhakikisha wanafunzi wanapata lishe wanapokuwa shuleni kutoka kwa katibu tawala wilaya ya Kilombero Mh. Selasela
Dhana za kufundishia somo la historia ya binadamu kutoka kwa walimu wa masomo ya arts
Maonesho ya vitabu vya kufundishia wanafunzi vinavyotumiwa na walimu pamoja na wanafunzi
Mwalimu wa somo la kemia akionyesha jinsi ya kuaandaa gesi ya helium ikiwa ni sehemu ya mafundisho ya darasani kwa vitendo
Wanafunzi wakiendelea kutoa burudani zenye ujumbe wa maadhimisho ya wiki la elimu wilayani Kilombero
Askari wa jeshi la polisi akifuatilia kwa vitendo jinsi ya kutumia telescope iliyotengenezwa kwa maboksi ikiwa ni nyenzo ya kufundishia darasani
Mh. Robert Selasela ambaye ni katibu tawala wilaya Kilombero akiwahutubia wananchi waliofika kushuhudia kilele cha juma la elimu Halmashauri ya wilaya Kilombero
Walimu wa shule ya sekondari Mang'ula wakifanya maonyesha ya kufundisha kwa kutumia teknolojia ya projector kuonyesha mfumo wa mzunguko wa jua
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa