1. Ujenzi wa mradi wa miundombinu ya maji katika vijiji vya msolwa station na Nyange.
Mkandarasi
|
Mfadhili
|
Muda wa utekelezaji wa mradi
|
Gharama za mradi
|
CANNOPIES International LTD Dar es salaam
|
WSDP
|
Novemba 2016 hadi July 2017
|
TSH. 2,288,603,037
|
Mradi unahusisha ujenzi wa miundombinu ifuatayo
Mradi huu wa muindombinu ya maji una faida kubwa ambazo ni pamoja na;-
Hali ya utekelezaji wa mradi ulipofikia mpaka sasa ni asilimia 45% ambapo tanki zote mbili zimejengwa, vituo vya maji 34 vimejengwa na ulazaji wa bomba za kusambaza maji zote. Kazi iliyobaki ni ujenzi wa bomba kuu (gravity main) lakuleta maji na ukarabati wa kidakio cha maji.
2. Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha Idete.
Mkandarasi
|
Mfadhili
|
Muda wa utekelezaji wa mradi
|
Gharama za mradi
|
M.L Appro Service Co. LTD Dar es salaam
|
WSDP
|
2013/2014 hadi June 2017
|
TSH. 270,377,930
|
Mradi unahusisha ujenzi wa miundombinu ifuatayo
Mradi huu wa ujenzi wa mradi wa maji unafaida kubwa ambazo ni pamoja na;-
Hali ya utekelezaji wa mradi ulipofikia mpaka sasa ni asilimia 90% ambapo kazi zote zimefanyika, mradi unafanyiwa majaribio ya kutoa maji (pressure testing
3. Ujenzi wa mradi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha Namwawala.
Mkandarasi
|
Mfadhili
|
Muda wa utekelezaji wa mradi
|
Gharama za mradi
|
SAJAC Investment Co. LTD Dar es salaam
|
WSDP
|
2013/2014 hadi June 2017
|
TSH. 388,049,270
|
Mradi unahusisha ujenzi wa miundombinu ifuatayo
Mradi huu wa ujenzi wa mradi wa maji unafaida kubwa ambazo ni pamoja na;-
Hali ya utekelezaji wa mradi ulipofikia mpaka sasa ni asilimia 90% ambapo mkandarasi anaendelea na kazi zilizobakia za ulazaji wa bomba kwenda kwenye vituo vya maji.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa