Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Mlimba, Eng. Stephano B .Kaliwa anawapongeza na kuwakaribisha waajiriwa wote wapya 2022 wa kada ya Elimu na Afya katika Utumishi wa Umma.
Kwa waajiriwa wapya wa Halmashauri ya wilaya Mlimba ili kuweza kuhudumiwa kwa haraka na kuondoa usumbufu wakati wa kuripoti, tafadhaki wasiliana na maafisa wa Halmashauri kwa namba zifuatazo
Afisa Elimu Msingi 0673471776
Afisa Elimu Sekondari 0753774173
Mganga Mkuu 0755050470
Katibu wa Afya 0718764871
Afisa Utumishi 0715495474
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa