• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Mlimba yatoa mikopo ya 918 kwa walengwa

Posted on: November 20th, 2021

HALMASHAURI ya wilaya ya Mlimba mkoani Morogoro  imetoa jumla ya shilingi milioni 918 kwa ajili ya kuvikopesha vikundi 100 vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo Mhandisi Stephano Kaliwa amesema fedha hizo zimetolewa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 na jumla ya wanufaika 1664 watafaidika na mkopo huo.

Akizungumza katika makabidhiano  ya fedha hizo sambamba na pikipiki 20 kwa wanufaika,Kaliwa amesema kwa mwaka huu wa fedha walitenga shilingi milioni 275 ikiwa ni asikimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya makundi hayo maalum.

Mhandisi Kaliwa amesema vilevile halmashauri hiyo imefanikiwa kukusanya shilingi milioni 643 ikiwa ni fedha za marejesho ya mkopo wa miaka ya nyuma hivyo kufanikiwa kupata jumla ya shilingi milioni 918 ambazo zimekopeshwa kwa walengwa hao.

Amebainisha kuwa katika fedha hizo jumla ya wanawake 1189 wamekopeshwa huku vijana ikiwa ni 467 na watu wenye ulemavu ni 8 ambapo tarafa ya Mlimba vikundi vimekopeshwa shilingi milioni 273 na tarafa ya Mngeta vimekopeshwa shilingi milionj 645

Mkurugenzi huyo mtendaji amesema wanufaika wa mkopo huo watatumia kutekeleza shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ikiwemo kilimo,ufugaji,ujasiliamali,usafirishaji na usindikaji mazao.

Naye mgeni rasmi katika makabidhiano hayo mbunge wa jimbo la Mlimba Godwin Kunambi amesema kilichofanyika ni utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambapo waliahidi kuwakopesha wananchi mkopo usio na riba ili kuwaletea maendeleo na kuwainua kiuchumi.

Kunambi amesema kwa kipindi cha miezi 11 toka yeye pamoja na Rais na madiwani wa chama hicho waingie madarakani mambo mengi ya maendeleo yamefanyika katika sekta mbalimbali wilayani humo.

Amesema ushirikiano baina ya madiwani na watendaji ndio umefanikisha kupatikana kwa fedha hizo ambazo ni kodi za wananchi na kuwaomba wote waliochukua mikopo kurejesha kwa wakati ili wananchi wengine nao waweze kukopeshwa.

Nao wanufaika wa mikopp hiyo wameipongeza halmashauri kwa kuwakopesha kiasi walichotaka na kusema kuwa walengwa wengi wamejipanga kutokuwa tegemezi na kusema kuwa fedha zilizotolewa mwaka huu ni nyingi na walengwa watatumiza malengo yao kwa asilimia kubwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 21, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2022
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOFAULU MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2019 HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOMBERO December 09, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa Kituo cha Afya Igima wafikia hatua nzuri.

    June 07, 2022
  • Kitengo cha Tehama wakabidhiwa Vifaa vya Kisasa.

    June 20, 2022
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imetoa Mkopo kwa vikundi 44 vya wajasiriamali na pikipiki 52 kwa vikundi vya vijana.

    May 24, 2022
  • Mkuu wa Wilaya wa Kilombero, atembelea kikundi cha Vijana Tuamke.

    June 01, 2022
  • Angalia zote

Video

MAKAO MAKUU KILOMBERODC KUHAMIA MNGETA
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa