• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

SHILINGI BILIONI 46.7 ZATARAJI KUENDESHA SHUGHULI ZA MAENDELEO KILOMBERO KWA MWAKA 2020/2021

Posted on: February 3rd, 2020

Pichani juu: mwekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero Ndg David Ligazio akisisitiza jambo kwenye baraza hilo

Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Inatarajia kupata zaidi ya
shilingi bilioni.46.7 kutoka vyanzo vyake mbalimbali kwa ajili ya kuendesha shughuli za Halmashauri na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2020/2021.

Akizungumza katika kikao cha bajeti kilichofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita,Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo David Ligazio amesema kiasi hicho shilingi bilioni 4 zitatokana na mapato ya ndani.

Ligazio amebainisha  kuwa vipaumbelea walivyojiwekea ni pamoja nakufanikisha jatika sekta za  kilimo,mifugo, Afya na Elimu ambapo katika Elimu imetengwa kiasi cha sh Mil 400 kwa ajili ya uboreshaji wa niundombinu ya Elimu ni kutokana na wimbi kubwa la watoto wanaoanza elimu ya Msingi

Amesema kiasi cha shilingi  milioni 200 katika sekta ya Afya huku akisema fedha hizo ziguse
moja kwa moja katika miradi ya kuwanufaisha wananchi badala ya
kutumia fedha nyingi kwenye matumizi ya kawaida..

Akizungumzia miradi ya kimkakati,Ligazio aliitaja kuwa ni pamoja na ujenzi Wa skimu za umwagiliaji Bonde la Kisegese,Ujenzi Wa hospitali ya halmashauri ya Wilaya ba Ujenzi Wa ofisi ya halmashauri ambapo kuasi cha shilingi bilioni 15.1 kimetengwa.

Hata hivyo baada ya kupitishwa kwa bajeti hiyo,baadhi ya wadau walisema imeegemea zaidi upande mmoja Wa tarafa za Mngeta na Mlimba na kuacha tarafa za Mang'ula na Kidatu wakati hadi sasa maamuzi ya kutenganisha halmashauri mbili bado kufanyika.

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero James Ihunyo amesema bajeti hiyo imegusa zaidi miradi katika Tarafa  ya Mlimba huku Tarafa za Kidatu na Mangula zikiachwa hali ambayo amesema hali ni upendeleo na kwamba japo hilo sio zuri hivyo ameitaka halmashauri hiyo kutenda haki katika maeneo yote kwani mpaka sasa bado maeneo hayo yanaitikia katika Halmashauri ya Kilombero.

Ihunyo alisema kweli sasa inajulikana kutakuwa na halmashauri za Mlimba na Mji Ifakara na hatua za awali zimefanyika ila nado maamuzi ya juu hayajafanyika ili kuruhusu halmashauri hizo kujitegemea hivyo kwa sasa tarafa zilizobaki zina haki ya kupata miradi kwani bado zinaitikia halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.

Kwa upande wake Makamu mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Hilda Mahimbali amelishukuru baraza hilo la madiwani kwa kuonesha ushirikiano wa kupitisha Bajeti hiyo kwani kwani itarahisisha utoaji huduma kwa wananchi waliowapa dhamana ya kuwawakilisha.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA DEREVA NA MWENDESHA OFISI MLIMBA DC July 01, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI JAMARY AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    June 10, 2025
  • MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MLIMBA DC

    June 04, 2025
  • MLIMBA DC YAPOKEA VITABU 13,607 KWA AJILI YA SHULE ZAKE ZA SEKONDARI

    May 30, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPOKEZI YA VIFAA VYA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa