Hali ya upatikanaji wa huduma ya maji vijijini
HALMASHAURI
|
IDADI YA WATU, MAKADIRIO 2016 |
IDADI YA VITUO VYA MAJI |
IDADI YA VITUO VYA MAJI VINAVYOFANYA KAZI |
% VITUO VINAVYOTOA HUDUMA YA MAJI |
IDADI YA WATU WANAOPATA HUDUMA YA MAJI |
ASILIMIA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI |
KILOMBERO DC
|
326,539 |
1,329 |
909 |
68 |
226,063 |
69.2 |
Miradi ya maji inayotekelezwa na Halmashauri pamoja na taasisi mbalimbali mwaka 2016/2017.
Taasisi/chanzo cha mapato
|
Idadi ya Miradi
|
Gharama
( Shs) |
Maelezo |
Hali halisi
|
Lion Pures Water
|
1 |
79,000,000 |
Ujenzi wa mradi wa maji Kijiji cha Msolwa(Kalengakelu)
|
Hatua ya majadiliano
|
CARITAS
|
1 |
170,000,000 |
Ukarabati wa mradi wa maji kijiji cha Mkula
|
Umekamilika
|
WARIDI
|
4 |
1.5 Billioni |
Ukarabati wa miradi ya maji katika Vijiji vya
Kata za Kidatu, Kiberege, Mwaya na Idete |
Usanifu wa miradi unaendelea
|
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa