• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Miundombinu na Uendelezaji wa Mijini na Vijijini

DIVISHENI YA MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI WA VIJIJINI NA MIJINI

Lengo:

Kusimamia na kushauri masuala yote yanayo husiana na miundombinu katika Halmashauri.

Majukumu

Divisheni inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kushauri kuhusu masuala yanayo husu sekta ya ujenzi;
  • Kupanga maendeleo ya miundombinu;
  • Kuchambua na kutoa mapendekezo juu ya madai ya malipo ya wakandarasi;
  • Kukagua kazi za ujenzi zinazo fanywa na Halmashauri na kuhakikisha ubora wake;
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa mikataba iliyo kamilika;
  • Kufanya ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na TARURA;
  • Kuanzisha na kudumisha ushirikiano na Taasisi za nje na ndani ya nchi zinazo shughulika na masuala ya miundombinu;
  • Kushiriki katika kuwezesha utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi;
  • Kusimamia mchakato wa ukuaji wa miji kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya ardhi; na
  • Kusimamia maendeleo ya makazi vijijini na mijini kwa kushirikiana na Wizara inayo husika na ardhi.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na inajumuisha seksheni tatu kama ifuatavyo:-

1. Sehemu ya Kazi;

2.Sehemu ya maendeleo ya vijijini na mijini.

Sehemu ya Kazi

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kutoa ushauri kuhusu sheria, kanuni, taratibu na masuala yote yanayo husu ujenzi;
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni zinazo husu masuala ya ujenzi;
  • Kuandaa mikataba inayo husu majengo na mitambo;
  • Kuandaa na kukadiria gharama za ujenzi;
  • Kufuatilia utendaji wa wakandarasi;
  • Kuchambua na kutoa mapendekezo ya madai ya malipo kutoka kwa wakandarasi;
  • Kukagua majengo na kuhakikisha ubora wake;
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa kazi zilizo kamilika kulingana na mikataba na kusimamia uendeshaji wa karakana za Halmashauri.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Barabara

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kutoa ushauri wa masuala yanayo husu kutambua na kuanzisha barabara mpya;
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni zinazo husu uanzishaji wa barabara;
  • Kutengeneza barabara mpya kwenye ardhi iliyo pimwa;
  • Kuandaa kandarasi za kutengeneza barabara mpya;
  • Kuandaa makadirio ya gharama za kutengeneza barabara;
  • Kufuatlia utendaji wa wakandarasi;
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa kazi zilizo kamilika kulingana na mikataba;
  • Kuchambua na kutoa mapendekezo kuhusu madai ya malipo kutoka kwa wakandarasi;
  • Kukagua barabara zilizo tengenezwa ili kuhakikisha ubora wake; na
  • Kusimamia ujenzi na matengenezo ya vituo vya mabasi.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Maendeleo ya Vijijini na Mijini

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia maendeleo ya makazi ya vijijini na mijini kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya ardhi;
  • Kusimamia huduma za kimazingira na kijamii;
  • Kuongoza mipango ya maendeleoya miji, nyumba na matumizi endelevu ya ardhi;
  • Kusimamia na kuratibu usimamizi wa mambo ya kale na utalii;
  • Kusimamia mchakato wa ukuaji wa miji kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya ardhi;
  • Kuratibu na kukuza maendeleo ya miji inayo chipukia kutoka vijiji hadi kuwa makazi ya mijini; na
  • Kushiriki katika kuwezesha maazimio ya matumizi ya ardhi na migogoro.
  • Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MAPYA

    May 31, 2025
  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa