• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Elimu Sekondari

DIVISHENI YA ELIMU YA SEKONDARI

Lengo

Kuratibu utekelezaji wa sera, mipango, sheria na mijadala na miongozo ya elimu ya sekondari.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kusimamia usimamizi wa tathmini endelevu na mitihani ya Taifa ya kidato cha pili, cha nne na cha sita;
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa mipango na program za elimu ya sekondari;
  • Kusimamia utoaji wa elimu ya watu wazima katika ngazi ya sekondari;
  • Kutengeneza na kudumisha kanzidata ya elimu ya sekondari;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha katika shule za sekondari;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji ya elimu ya mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi; na
  • Kutoa ushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya wenye mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.
  • Divisheni inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina sehemu nne kama ifuatavyo:-
  1. Sehemu ya Taaluma;
  2. Sehemu ya Takwimu na Vifaa;
  3. Sehemu ya Elimu ya Mahitaji Maalum; na
  4. Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi.

Sehemu ya Taaluma

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, mipango, mijadala na miongozo ya elimu ya sekondari kwenye shule za sekondari;
  • Kusimamia ukuaji wa ufaulu wa shule za sekondari;
  • Kuratibu na kusimamia utoaji wa tathmini endelevu na mitihani ya taifa ya kidato cha pili na cha nne;
  • Kusimamia na kufanya tathmini ya utekelezaji wa mipango ya elimuya sekondari na kutathmini uimara na udhaifu wake; na
  • Kuratibu na kusimamia michezo na burudani katika shule za sekondari.
  • Seksheni hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Takwimu na Vifaa 

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za elimu ya sekondari;
  • Kuratibu upatikanaji na usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu katika shule za sekondari;
  • Kuratibu takwimu za uandikishaji wa wanafunzi na vifaa shuleni;
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji kuhusumaendeleo ya elimu; na
  • Kuamua mahitaji ya rasilimali kwa shule katika Halmashauri

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Elimu ya Mahitaji Maalum

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuandaa na kusimamia mipango ya utekelezaji wa elimu ya mahitaji maalum kwa shule za sekondari;
  • Kutambua watoto wenye mahitaji maalum na kuwagawa shuleni;
  • Kukusanya taarifa za wanafunzi wenye mahitaji maalum na kutoa ushauri ipasavyo; na
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu ya mahitaji maalum.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuandaa na kusimamia mipango ya utekelezaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi kwa elimu ya sekondari;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi; na
  • Kuratibu  upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasiliamli za elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MAPYA

    May 31, 2025
  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa