• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Maendeleo ya Jamii

IDARA YA MAENDELEO YA JAMII, USTAWI WA JAMII NA VIJANA


 Kitengo cha Maendeleo ya Jamii

  • Lengo kuu la Kitengo;
  • Kusaidia jamii kutafsiri fursa na vikwazo vilivyopo katika mazingira yao na kutumia rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo.
  • Ili kufikia lengo kuu, kitengo kimekuwa na majukumu yanayotekelezwa katika ngazi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  • Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera za  Maendeleo ya Jamii katika ngazi za vijiji na kata.
  •  
  • Kuratibu na kusimamia asasi za kiraia zinazotekeleza shughuli za Maendeleo katika Wilaya.
  • Kuratibu na kusimamia Asasi za kiraia katika wilaya ( NGOs, CBOs na vikundi vya kiuchumi)
  • Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa Wanawake (WDF) katika ngazi ya Wilaya
  • Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa  Vijana (YDF) katika ngazi ya Wilaya
  • Kusimamia na kuratibu miradi/mipango iliyoko chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii (TASAF, CHF, KUDHIBITI UKIMWI, MKURABITA,n.k )
  • Kutoa mapendekeo ya kukabiliana na vikwazo vya maendeleo ya makundi maalum wakiwemo wanawake, watoto, wazee na walemavu.
  • Kuandikisha na kutunza rejista za vikundi vya maendeleo ya makundi maalumu wakiwemo vijana, wanawake na walemavu.
  • Kuhamasisha na kutoa Mapendekezo juu ya ushirikishaji jamii katika kubuni na kupanga miradi ya maendeleo  kwa kutumia teknolojia rahisi na sahihi.
  • Kufuatilia na kuuhisha rejista za wakazi katika ngazi za vijiji na vitongoji.
  • Kusimamia na kutafsiri sheria za Ustawi wa Jamii (Mtoto,Wazee, Ndoa)  katika ngazi ya Wilaya.

 Kitengo cha Ustawi wa Jamii

  • Lengo kuu la Kitengo;
  • Kusaidia watu kutambua haki na wajibu wao katika kutoa huduma za kijamii na hasa makundi maalumu wakiwemno watoto, wazee na walemavu.
  • Ili kufikia lengo kuu, kitengo kimekuwa na majukumu yanayotekelezwa katika ngazi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  1. Kufuatilia na Kusimamia upatikanaji wa haki za  wazee wenye mahitaji maalumu
  2. Kutetea haki za watoto na wanafamilia wanaoonewa katika ngazi ya kaya na vyombo vya sheria.
  3. Kuwezesha na kusimamia vituo vya kulelea watoto yatima
  4. Kutekeleza mipango kuhusu watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi
  5. Kusimamia na kutafsiri sheria ya mtoto katika ngazi ya Wilaya na vijiji
  6. Kusimamia na kutafsiri sheria ya mtoto katika ngazi ya Wilaya, kata na vijiji

 Kitengo cha Vijana

  • Lengo kuu la Kitengo;

Kusaidia vijana kupata mbinu za kujiinua kiuchumi na kutambua fursa na vikwazo  vilivyo katika mazingira yao na kujiletea maendeleo. 

  • Ili kufikia lengo kuu, kitengo kimekuwa na majukumu yanayotekelezwa katika ngazi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  • Kuhimiza maendeleo ya Elimu na Ujuzi kwa Vijana
  • Kutokomezaji wa umaskini na mfungamano wa vijana kiuchumi na kijamii
  • Kuwezesha maisha endelevu na ajira kwa vijana
  • Kuwezesha maendeleo endelevu na hifadhi ya mazingira
  • Kuhamasishaji wa maadili na desturi njema za kiafrika kwa vijana
  • Kuratibu mabaraza ya vijana katika ngazi ya kata na wilaya

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MAPYA

    May 31, 2025
  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa