• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Biashara, Viwanda na Uwekezaji

DIVISHENI YA VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Lengo

Kutoa mazingira mazuri ya biashara kwa maendeleo ya viwanda, masoko na uwekezaji

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria kanuni na taratibu zinazo husu viwanda , biashara, masoko na uwekezaji;
  • Kuhamasisha viwanda, biashara, masoko na uwekezaji ndani ya halmashauri;
  • Kupanga na kuanzisha maeneo na hifadhi za viwanda kwa kushirikiana na wadau wengine muhimu;
  • Kupanga mikakati ya kukuza viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  • Kukuza maendeleo ya bisahara ndogondogo na za kati (SME’s);
  • Kuandaa mapendekezo na miradi ya uwekezaji;
  • Kuendeleza maendeleo ya sekta binafsi;
  • Kuanzisha na kusimamia kanzidata ya viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  • Kusimamia usimamizi wa kituo kimoja cha biashara;
  • Kufanya tafiti za kukuza uwekezaji;
  • Kuratibu jukwaa la biashara;
  • Kusimamia minada na shughuli za masoko ndani ya halmashauri;
  • Kutekeleza Mkakati wa Ukuzaji wa Biashara kwa wachuuzi wadogo na watoa huduma za biashara wadogo; na
  • Kutoa mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji ili kuhamasisha biashara na uwekezaji;

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina sehemu mbili kama ifuatavyo:-

  1. Sehemu ya maendeleo ya viwanda na uwekezaji;
  2. Sehemu ya biashara na masoko.

Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji

Sehemu hii inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu zinazo husu sekta za Viwanda na Uwekezaji;
  • Kuhamasisha na kuratibu utekelezaji wa ushirikiano wa sekta binafsi ya umma;
  • Kutenga, kuanzisha na kufuatilia maeneo na hifadhi za viwanda;
  • Kutoa ushauri kuhusu uboreshaji wa sera za viwanda na kuratibu vikao vya kisekta;
  • Kuhamasisha uzalishaji wa malighafi mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya viwandani;
  • Kuandaa na kutunza rejista za viwanda na uwekezaji;
  • Kupanga na kukadiria ushuru kwa viwanda vidogo;
  • Kuhamasisha uwekezaji wa sekta binafsi;
  • Kuendeleza na kupitia upya wasifu wa uwekezaji;
  • Kuratibu na kutoa ushauri kwa wawekezaji; na
  • Kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya uwekezaji.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Biashara na Masoko

Sehemu hii inatekeleza shuguli zifuatazo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na tartibu za biashara na masoko;
  • Kutoa ujuzi wa ujasiriamali kwa jumuia za wafanya biashara;
  • Kuratibu na kutoa ushauri kuhusu shughuli za kuandikisha biashara;
  • Kuchambua taarifa za biashara na masoko na kushauri ipasavyo;
  • Kuratibu jukwaa la biashara la Halmashauri;
  • Kukuza ushirikiano wa sekta binafsi ya umma;
  • Kusimamia minada na shughuli za masoko katika Halmashauri;
  • Kukusanya na kusambaza taarifa za masoko za bidhaa na huduma kwa wadau wanao vutiwa;
  • Kutekeleza Mkakati wa Maendeleo ya Biashara kwa wachuuzi wadogo na watoa huduma za bishara ndogondogo; na
  • Kutoa mazingira mazuri ya biashara.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MAPYA

    May 31, 2025
  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa