• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Mipango na Uratibu

DIVISHENI YA MIPANGO NA URATIBU

Lengo

Kutoa autaalamu na huduma katika mipango, bajeti, usimamizi na tathmini.

Divisheni inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kuandaa mikakati, mipango na bajeti za muda wa kati na mrefu;
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mikakati, mipango na bajeti;
  • Kuandaa na kupitia upya wasifu wa uchumi wa Serikali za Mitaa;
  • Kuratibu utekelezaji wa ushiriki wa sekta binafsi;
  • Kuratibu ukusanyaji wa data, uchambuzi, utafsiri na uhifadhi kwa Serikali za Mitaa;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu michakato ya usimamizi na tathmini;
  • Kuratibu usimamizi wa majanga wa Halmashauri; na
  • Kuratibu shughuli za Serikali za Mitaa zilizo tekelezwa na Taasisi zingine kama vile ardhi na maji.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina sehemu mbili kama ifuatavyo:-

  1. Sehemu ya Mipango na Bajet; na
  2. Sehemu ya Usimamizi na Tathmini.

Sehemu ya Mipango na Bajeti.

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera za sekta za uchumi na uzalishaji;
  • Kufafanua na kusambaza sera za Wizara Kuu na Sekta pamoja na Serikali za Mitaa;
  • Kuratibu mapitio ya utendaji ya katikati ya mwaka na ya mwishoni mwa mwaka;
  • Kuratibu uandaaji wa upangaji na uandaaji wa mipango na bajeti za Serikali za Mitaa;
  • Kuunganisha taarifa zinazo husu miradi, program na mipango ya utendaji na kuweka mikakati ya uandaaji wa rasilimali/malighafi;
  • Kutoa mwongozo wa kitaalamu na usaidizi kwa ajili ya kurasimisha mchakato wa upangaji wa kimkakati na bajeti ndani ya halmashauri; na
  • Kuratibu maandalizi ya taarifa za utekelezaji wa ilani ya Chama Tawala.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Usimamizi na Tathmini

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya Serikali za Mitaa;
  • Kuandaa taarifa za utendaji za mara kwa mara;
  • Kutoa mawazo katika maandalizi ya shughuli za mipango, program za bajeti ikiwa ni pamoja na kuaisisi mchakato wa usimamizi na tathmini;
  • Kufanya tafiti zenye matokeo kwenye mipango, miradi na program zinazo tekelezwa na Serikali za Mitaa;
  • Kuratibu uzalishaji wa data na takwimu za kawaida katika sekta zote;
  • Kushirikiana na NBS katika ukusanyaji wa data, kuziingiza, kuzichambua na kuzitafsiri;
  • Kuratibu maandalizi na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi;
  • Kuanzisha na kubuni zana za kukusanya data;
  • Kuratibu uzalishaji wa data na takwimu za kawaida katika sekta zote;
  • Kuratibu maandalizi na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi;
  • Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti;
  • Kuratibu utekelezaji wa mikataba ya utendaji; na
  • Kufanya uchunguzi wa utoaji huduma.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025 July 03, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA DEREVA NA MWENDESHA OFISI MLIMBA DC July 01, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MLIMBA YAPOKEA CHANJO NA HERENI KWA AJILI YA MIFUGO

    July 10, 2025
  • MLIMBA YAPANGIWA WAAJIRIWA WAPYA 73

    July 04, 2025
  • MKURUGENZI JAMARY AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    June 10, 2025
  • MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MLIMBA DC

    June 04, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa