• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Elimu Msingi

DIVISHENI YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI

Lengo

Kupanga na kusimamia utekelezaji wa sera na mijadala inayo husu utoaji wa elimu ya awali, msingi, mahitaji maalum na elimu isiyo rasmi.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kupanga upatikanajai, usambazaji na utumiaji wa rasilimali katika shule za msingi,
  • Kusimamia usimamizi wa tathmini endelevu na mitihani ya Taifa ya shule za msingi;
  • Kusimamia utoaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi katika ngazi za elimu ya awali na msingi;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha katika shule za msingi;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji kwa elimu ya mahitaji maaulum, watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kutoa ushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya mahitaji maalum, watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kufuatilia utekelezaji wa mipango na program za elimu ya msingi; na
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za michezo na burudani katika shule za msingi.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina sehemu nne kama ifuatavyo:-

  1. Sehemu ya taaluma
  2. Sehemu ya takwimu na vifaa;
  3. Sehemu ya elimu ya mahitaji maalum;
  4. Sehemu ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Sehemu ya Taaaluma.

Sehemu hii inatakeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera, mipango, miongozo na mijadala ya elimu ya awali na msingi katika ngazi ya shule;
  • Kuratibu na kusimamia usimamizi wa tathmini endelevu za shule na mitihani ya Taifa ya darasa la nne na la saba;
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya elimu ya awali na msingi;
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa mipango na program za maendeleo ya elimu; na
  • Kuratibu utoaji wa elimu ya kujitegemea na usimamizi wa shughuli/miradi inayo zalisha mapato kwenye shule za msingi;

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Takwimu na Vifaa

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za elimu ya awali na msingi;
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za kielimu katika shule za msingi;
  • Kuratibu takwimu na vifaa vya uandikishwaji shuleni;
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa maendeleo ya elimu; na
  • Kubainisha mahitaji ya rasilimali kwa shule zilizo ndanai ya Halmashauri;

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Mahitaji Maalum

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu ya mahitaji maalum kwa elimu ya msingi;
  • Kutambua watoto wenye mahitaji maalum na kuwagawa shuleni;
  • Kukusanya taarifa za wanafunzi wenye mahitaji maalum na kutoa ushauri ipasavyo;
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu ya mahitaji maalum.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi

Sehemu hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi kwa shule z msingi;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji ya elimu ya watu wazima ena elimu isiyo rasmi;
  • Kushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya mafunzo ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi; na
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Sehemu hii inaongozwa na Afisa anaye husika.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MAPYA

    May 31, 2025
  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa