Wednesday 18th, September 2024
@Dodoma
Timu ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imetwaa makombe mbalimbali katika Mashindano ya watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (SHIMISEMITA), Mpira wa Miguu Mlimba DC wameshika nafasi ya tatu kitaifa, Mchezo wa bao wanawake nafasi ya kwanza kitaifa, mchezo wa bao wanaume nafasi ya tatu kitaifa na mchezo wa mpira wa Netbal nafasi ya nane kitaifa
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa