Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Amour Hamad Amour akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa mradi wa maji katika kata ya Msolwa Station
Mkuu wa wilaya ya Kilombero akipokea mwenge wa uhuru 2017 kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Mvomero
Afisa elimu ufundi Kilombero akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa vyoo vya kisasa shule ya msingi darajani kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2017
Mwenge wa uhuru ulipowasili katika shule ya msingi darajani teyali kwa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa vyoo
Mkuu wa wilaya ya Kilombero Mh. James Ihunyo akikabidhiwa rasmi mwenge wa uhuru teyali kuukimbiza katika Halmashauri ya wilaya Kilombero
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Kilombero kwa pamoja na Mhandisi wa maji wilaya wakitoa maelezo ya ujenzi wa miundombinu ya maji katika tarafa ya msolwa station
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2017 akizindua mradi wa ghala la kuhifadhia mazao kiberege pamoja na kuchakata mazao ya chakula
Afisa elimu ufundi akitoa maelezo kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2017 juu ya ujenzi wa vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Darajani tarafa ya Mang'ula kata ya Mwaya
Mkuu wa wilaya ya Kilombero akihitimisha mbio za mwenge wa uhuru 2017 katika halmashauri ya wilaya Kilombero kwa kumkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa wilaya ya Ulanga.
Jiwe la msingi baada ya ufunguzi wa ghala la kuhifadhia mazao Kiberege ikiwa ni Mradi uliofunguliwa na mbio za mwenge wa uhuru 2017 katka halmashauri ya wilaya Kilombero
Jiwe la msingi baada ya ufunguzi wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Mang'ula baada ya kupitiwa na mbio za mwenge wa uhuru 2017
Jiwe la msingi la ujenzi wa vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Darajani mara baada ya kuzinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Ndugu Amour Hamad Amour
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero wakishangilia kwa pamoja wakati wakijiandaa kukabidhi mwenge wa uhuru 2017 kwa wananchi wa Ulanga
Watumishi wa halmashauri ya wilaya Kilombero wakijiandaa kukabidhi mwenge wa uhuru kwa mkuu wa wilaya Ulanga mara baada ya kumaliza mbio zake katika halmashauri ya wilaya Kilombero
Wanafunzi wa shule ya sekondari Nyange wakishiriki kukimbiza mwenge wa uhuru 2017 baada ya mbio hizo kukagua kikundi cha wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi Kidatu
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa