Tuesday 3rd, December 2024
@
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, imesimamia ujenzi wa shule Mpya ya Igima iliyojengwa katika kata ya Mbingu. Shule hii ni miongoni mwa shule zilizojengwa kwa ufadhili wa Mradi wa BOOST na hadi mradi mradi unakamilika Jumla ya Kiasi cha Shilingi Milioni Mianne Sabini na tano na laki tatu zimetumika kujenga Madarasa 14 ya Elimu Msingi, Madarasa mawili ya Awali na jengo Moja la Utawala.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa