Sunday 11th, May 2025
@Ofisi zote za kata na Kliniki za baba, mama na mtoto
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero anawatangazia wananchi wote kuwa, kuanzia tarehe 6/12 hadi tarehe 17 Dec 2019 kutakuwa na zoezi la usajili wa vyeti vya Kuzaliwa kwa watoto wote umri chini ya miaka mitano (5) bila malipo (BURE)
MAHALI :-Ofisi za Kata zote za Halmashauri na
Vituo vya kutolea huduma za Afya zenye clinic za baba,mama na mtoto.
VITU MUHIMU VYA KUBEBA.
●Kadi ya clinic ya mtoto
●Tangazo la uzazi
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa