• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

MAMBA AJERUHI WATU WATATU KATIKA KIJIJI CHA NYAMWEZI - KIBEREGE

Posted on: April 24th, 2017

Watu watatu wamejeruhiwa baada ya kung'atwa na mamba katika kijiji cha Nyamwezi kata ya Kiberege katika halmashauri ya wilaya ya Kilombero.


Afisa mtendaji wa kijiji cha Nyamwezi Bi. Neema Lyungu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo lilitokea siku ya pasaka jumapili ya tarehe 16/04/2017 ambapo watu hao watatu walikuwa katika shughuli zao za kawaida za kilimo kandokando ya mto lihegama.


Majeruhi hao wametambulika kwa majina ya Maheli, Kalinganila na bwana Maneno ambapo Maneno alijeruhiwa mguu na kufikishwa katika hospitali ya St francis  Ifakara na kupatiwa matibabu kwa kuwekewa vyuma katika mguu, aidha bwana Maheli ambaye ni mkazi wa Kidatu naye alijeruhiwa kisigino cha mguu, wakati bwana Kalinganila amepata majeraha ya mkono.


Mamba hao wanasadikika wametokea katika mto Msolwa ambao kwa kipindi hiki cha masika mto huo  humwagwa maji yake katika mto lihegama na kusababisha mamba kuonekana katika maeneo yanayozunguka mto lihegama na maeneo yanayopakana na mto lihegama.


Afisa mhifadhi wanyamapori wa tarafa ya Mang'ula Bwana Haji Ngahungura ameelezea jitihada zilizofanyika ili kuondoa hofu kwa wananchi ni pamoja na kumtafuta mamba huyo kwa kutumia siraha ya bunduki jambo ambalo lilishindikana kutokana na mto kuwa na maji mengi hivyo kupelekea zoezi hilo kuwa gumu.


Aidha Bwana Haji (Afisa wanyamapori) kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa kitongoji pamoja na wananchi wa kitongoji cha Ishililo waliendelea na jitihada za kumnasa mamba huyo kwa kutumia mtego wa ndoano za nondo wenye chambo cha mmbwa na kondoo, hata hivyo jaribio hilo halikufanikiwa baada ya mamba huyo kujinasua kwenye mtego huo kwa kunyoosha nondo na kufanikiwa kutokomea.


Wanakijiji wanaozunguka maeneo hayo wametahadharishwa kutoendelea kufanya shughuli zao katika maeneo yanayozunguka mto Lihegama kwa kipindi hiki ambapo jitihada zinaendelea za kumtafuta mamba huyo mpaka pale maji yatakapopungua katika maeneo hayo hatarishi.



Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025 July 03, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA DEREVA NA MWENDESHA OFISI MLIMBA DC July 01, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MLIMBA YAPANGIWA WAAJIRIWA WAPYA 73

    July 04, 2025
  • MKURUGENZI JAMARY AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    June 10, 2025
  • MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MLIMBA DC

    June 04, 2025
  • MLIMBA DC YAPOKEA VITABU 13,607 KWA AJILI YA SHULE ZAKE ZA SEKONDARI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa