Usaili wa ana kwa wana kwa waliofaulu usaili wa maandishi, utafanyika Jumapili, tarehe 07.12.2025, saa moja kamili asubuhi, kwenye Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mlimba.
wasailiwa wanahimizwa kufika kwa wakati ili kukamilisha zoeI hilo.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa