Saturday 23rd, August 2025
@KATA YA MNGETA
ZOEZI LA UTOAJI WA CHANJO YA KUKU, YA TATU MOJA LINALOFANYIKA KWA SIKU TANO TANGU JUMATATU TAREHE 14.07.2025 HADI IJUMAA TAREHE 18.07.2025 KATIKA KATA ZOTE ZA HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA LINAENDELEA VYEMA NA WAFUGAJI WAMEENDELEA KUJITOKEZA KUSHIRIKI NA KUPOKEA KUTOKA KWA WATAALAMU WA MIFUGO WA HALMASHAURI ELIMU YA UFUGAJI WA KUKU, MAGONJWA SUMBUFU YA KUKU NA NAMNA YA KUWAKINGA . KWA MUJIBU WA MKUU WA IDARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI, WA HALMASHAURI YA MLIMBA, MHANDISI ROMANUS MUYEYE, MPAKA MCHANA WA LEO JUMLA YA KUKU 2,122 WAMEKWISHA KUPATIWA CHANJO NA KAZI INAENDELEA.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa