Katika kuonyesha kuwa wanatekeleza maagizo ya mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muu ngano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, halmashauri ya wilaya ya Kilombero imeendelea na utaratibu wake wa kufanya usafi kila inapofika jumamosi ya mwisho ya mwezi.
Hali hiyo imejitokeza mapema leo, ambapo wafanyakazi wa halmashauri hiyo walifanya usafi kwenye maeneo yote yanyozunguka ofisi zao.
zifuatazo ni picha mbalimbali zikionyesha wafanyakazi hao wakishiriki kwenye usafi huo.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa