• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Gari ya Halmashauri ya wilaya ya Mlimba yachomwa Moto Merela

Posted on: August 9th, 2021

Mwishoni mwa wiki hii (Ijumaa) Gari ya Halmashauri ya wilaya ya Mlimba, yenye namba za usajili DFP 9402, imechomwa moto katika eneo la Merela lililopo Halmashauri ya wilaya hiyo na wananchi wa maeneo hayo kwa madai kuwa wanajaribu kuwazuia wapimaji Ardhi wa eneo la mwekezaji wa shamba hilo ajulikanae kwa jina la Balali.

kwa mujibu wa wataalam waliokuwepo kwenye eneo hilo (jina kapuni) wanasema kuwa walivamiwa na wananchi wakiwa wanarudishia mipaka ya shamba namba 512 ambapo ombi hilo lilitolewa na mmiliki wa eneo hilo ambalo tayari wananchi walikwishalivamia miaka kadhaa iliyopita, ingawa wengine walikuwa wakikodishwa na serikali ya kijiji kwaajili ya kulitunza eneo hilo.

Aidha uharibifu mkubwa sana umefanywa kwa kuchomwa gari pamoja na pikipiki za viongozi wengine, Stonex base GNSS receiver.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mlimba Mhandisi Stephano Kaliwa, amewasihi wananchi kuwa watulivu wakati taratibu za kisheria zinasubiriwa

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI February 24, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA JULAI 2022 August 01, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA IMEPOKEA PESA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA KUTOKA HAZINA (OC) KWA MWEZI NOVEMBA 2022 TSHS 35,294,000/= December 05, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI

    August 07, 2023
  • MAADHIMISHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI

    August 07, 2023
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA KUTOKA HAZINA (OC) TSH. 235,360,000.00

    August 02, 2023
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA KUTOKA HAZINA (OC) TSH. 235,360,000.00

    August 02, 2023
  • Angalia zote

Video

MHE. WAKILI DUNSTANI KYOBYA AHAIDI TSH. 500,000.00/= KWA KILA MWANAFUNZI ATAKAYEPATA DIVISHENI 1.7.
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa