Kikao cha kamati ya Lishe Wilaya kikijadili utekelezaji wa viashiria vya mkataba wa Lishe kwa kipindi cha Jan - March 2023. Mkurugenzi mtendaji ameagiza fedha zote zilizopangwa kutekeleza shughuli za lishe kutolewa kabla ya Mwaka wa fedha 2022/2023, lakini pia ameagiza Idara za Elimu msingi na sekondari uanzishwaji wa lishe mashuleni
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa