• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Mbunge wa Mlimba akabidhiwa hati ya kuchaguliwa.

Posted on: October 30th, 2020

Na Islam Mposso

Pichani juu: Msimamizi wa jimbo la Mlimba Eng Stephano Kaliwa akimkabidhi hati ya kuchaguliwa kuwa Mbunge katika jimbo la Mlimba, Ndg Kunambi Emanuel Godwin.

Mbunge Mteule wa jimbo la Mlimba Ndg Kunambi Emanuel Godwin jana jioni katika ofisi za mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mlimba, amekabidhiwa cheti cha ushindi kwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa cheti chake, Ndg Kunambi amesema kuwa anawashukuru sana wananchi wa Tanzania kwa ujumla hususan wakaazi wa jimbo hilo kwa kuweza kuiamini kwa kiasi kikubwa sana CCM kwani mpaka sasa kata zote kwenye jimbo hilo zimekwenda CCM hii inadhihirisha kwamba hata wangeingia kwenye kinyang’anyiro hicho, bado angeweza kupata kura za kutosha kuweza kuchaguliwa kuwa Mbunge.

Ndg Kunambi amesema kuwa anajua kuwa hili ni deni na akawaahidi wananchi kuwa hatokuwa na maneno mengi ila wasubiri tu waone matendo maana katika awamu hii maneno si mengi sana zaidi ya matendo.

Nae msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mlimba Eng. Stephano Kaliwa akikabidhi cheti hicho amesema kuwa, anawashukuru wakazi wa eneo lake kwa kukamilisha uchaguzi huo kwa amani na utulivu bila kutokea rabsha yoyote ile, na akawasihi wananchi kluendelea kuwa watulivu mpaka mchakato huu utakapokwisha kabisa kwani mpaka sasa zimebakia asilimia chache tu kukamilisha zoezi zima la uchaguzi ili Rais aweze kutangazwa na wananchi waweze kuendelea na shughuli zao za kawaida.

‘’Ninawashukuru sana wakazi wa jimbo la Mlimba, kwa kukamilisha shughuli za uchaguzi katika jimbo hili kwa amani na utulivu bila kutokea rabsha yoyote, zaidi ya yote ninawasihi waendelee kuwa watulivu mpaka pale mchakato huu wa uchaguzi utakapokwishakabisa, kwani mpaka sasa zimesalia asilimia chache tu kukamilisha zoezi zima la uchaguzi ili Rais aweze kutangazwa na wananchi waweze kuendelea na shughuli zao za kawaida.’’ Alimaliza Eng. Kaliwa.

 Habari katika Picha:





picha zikionesha harakati mbalimbali kwenye utoaji wa hati ya kuchaguliwa kuwa Mbunge

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA MWAKA 2025 November 05, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MAANDISHI WA MAAFISA UGANI KWA AJILI YA MRADI WA MIFUMO YA CHAKULA, MARUMIZI YA ARDHI NA UREJESHAJI WA MAZINGIRA (FOLUR) KATIKA HALMASHAURI YA MLIMBA December 06, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA YAPOKEA WAAJIRIWA 118

    January 20, 2026
  • HALMASHAURI YA MLIMBA YAKEMEA UCHIMBAJI HOLELA WA VIFUSI NA UHARIBIFU WA MTO MNGETA, YAAHIDI KUDHIBITI NYANI WAHARIBIFU KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA KIBURUBUTU

    January 19, 2026
  • MRADI WA FOLUR KUANZA KUTEKELEZWA KWA VITENDO

    January 18, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA IMEFANYA MKUTANO WA ROBO YA PILI, WA BARAZA LA MADIWANI

    January 18, 2026
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa