• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

MIRADI ILIYOSIMAMIWA NA ENG. STEPHANO B. KALIWA ALIYEKUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

Posted on: March 13th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Mhe. Innocent Mwangasa amemshukuru na kumpongeza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Eng. Stephano B. Kaliwa kwa kuisimamia na kuipandisha kimaendeleo halmashauri hiyo.



Mhe Mwangasa,amesema miradi ya Maendeleo yote ya iliyotekelezwa ndani ya Halmashauri hiyo imefanyika vizuri kwa sababu ya usimamizi makini chini ya Mkurugenzi Mtendaji aliyehamia halmashauri ya wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi Eng. Stephano B. Kaliwa.


Ameitaja miradi iliyotekelezwa na kusimamiwa ni kutoka Divesheni ya Afya, lishe na Ustawi na Miradi(Ujenzi wa Vituo vitatu vya Afya Chita, Igima na Mofu kwa Mapato ya ndani ya Halmashauri vyenye Thamani ya kiasi cha shilingi 1,630,000,000/=).


Miradi mingine ni pamoja na Ujenzi na ukamilishaji wa zahanati kumi kutoka vijiji vya Tanganyika, viwanja sitini, Njage, Lufulu, Mikocheni, Msita, Ngalimila, Lugala, Mkuyuni na Mgugwe zahanati zote zimegahrimu kiasi cha Shilingi 175,000,000/=


Upande wa Elimu Eng. Kaliwa amesimamia ujenzi wa shule 16 mpya za Elimu ya awali na Msingi pamoja na Ujenzi na ukamilishaji wa shule nane za Sekondari kutoka kata ya Namwawala, Kalengakelu, Mchombe, Chita, Mngeta, Mbingu, Mofu na Kamwene. Aidha Mkurugenzi Mtendaji alisimamia ulipaji wa stahiki za likizo kwa Walimu na watumishi wa Divisheni na Vitengo mbalimbali.


Mhe. Mwangasa ameendelea kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji kwa kusimamia shughuli za Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa kiasi cha Shilingi 291,691,900 zilizofanya utekelezaji wa shughuli za kilimo kama vile, ununuzi wa Miche ya parachichi 8,847, ununuzi wa Boti ya Halmashauri moja na Ujenzi wa Machinjio ya Mifugo kidete.


Ameendelea kutaja miradi mingine kuwa ni Ujenzi wa choo soko la Ching'anda, ujenzi wa josho la Mifugo kata ya Namwawala, ujenzi wa Ghala na mashine za Kukoboa Mpunga, ujenzi wa Machinjio ya nguruwe, ununuzi wa miche ya korosho na kuhudumia shamba la korosho ekari 135, ununuzi wa miche ya Michikichi 55,150 0 pamoja na ununuzi wa miche ya karafuu miche 1000.


Kupitia Divisheni ya Maendeleo ya Jamii jumla ya vikundi 52 vya Wanawake, Vijana na walemavu vilipata Mikopo mbalimbali hadi Serikali wanasitisha zoezi la utoaji wa Mikopo.


Kuhusu ukusanyaji wa mapato amesema kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo Mkurugenzi Mtendaji aliongoza Halmashauri kukusasnya mapato kwa kuvuka lengo Halmashauri walilojiwekea hadi tarehe 12.03.2024  Halmashauri imekusanya Asilimia 102 ya mapato ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2023/2024


Mwisho, amemtakia kila la heri katika Halmashauri yake mpya ya Wilaya ya Nsimbo na kuendelea kumkaribisha katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuwekeza na kwa ushauri mbalimbali.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • MLIMBA YAPOKEA MRADI WA MIAKA 5 WA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    February 07, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa