• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Mkurugenzi aonyesha mfano kutekeleza agizo la Rais

Posted on: April 28th, 2018

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero mheshimiwa Dennis Londo mwenye fulana yenye msatari wa rangi nyekundu, akionyesha mfano wa namna ya viongozi bora wanavyotakiwa wawe baada ya kuungana na wafanyakazi wenzake wa Halmashauri ya manispaa ya Kilombero kufanya usafi katika maeneo ya ofisi hizo mapema leo asubuhi.

Shughuli hiyo ni muendelezo wa agizo la mheshimiwa rais la kila inapofika jumamosi ya mwisho wa mwezi basi ni siku ya kufanya usafi mkubwa kabisa ambapo wafanyakazi hao walishirikiana kuweka mazingira katika hali ya usafi ambapo imekuwa ni kawaida kufanya hivyo kwa kutekeleza agizo hilo la mheshimiwa Rais.

Pichani chini ni wafanyakazi mbalimbali wa Halmashauri hiyo wakiendelea na shughuli hiyo ya usafi.












Matangazo

  • KARIBUNI MLIMBA WATUMISHI WAPYA SEKTA YA ELIMU NA AFYA July 04, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA LISHE WA HALMASHAURI NDUGU BODYGADI S. BUHARI AKIWASILISHA TATHIMINI YA LISHE KWA MWAKA 2021/2022

    July 15, 2022
  • UJENZI WA NYUMBA ZA WAKUU WA IDARA

    July 04, 2022
  • KARIBUNI MLIMBA WAAJIRIWA WAPYA SEKTA YA AFYA NA ELIMU

    July 04, 2022
  • Ujenzi wa Kituo cha Afya Igima wafikia hatua nzuri.

    June 07, 2022
  • Angalia zote

Video

MAKAO MAKUU KILOMBERODC KUHAMIA MNGETA
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa