• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Mkuu wa mkoa wa Morogoro ameagiza kukamatwa kwa wale wanaokusanya pesa za mapato bila ya kuweka benki.

Posted on: May 31st, 2019

Pichani juu: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro mheshimiwa Kebwe Steven Kebwe akizungumza katika baraza maalum la majibu ya hoja za ukaguzi wa mthibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali mwaka wa fedha unaoishia 30,juni,2018.


MKUU   wa Mkoa wa Morogoro mheshimiwa Kebwe Steven Kebwe,ametoa agizo mapema leo kwa wale wote wasioweka benki pesa ambazo walikusanya kutoka katika vyanzo vya mapato mbalimbal, wakamatwe ili iwe fundisho kwa wengine na kumtaka mwenyekiti na madiwani wasimamie vyema na kikamilifu suala zima la mapato.

Mheshimiwa Kebwe ametoa agizo hilo pindi alipokuwa katika mkutano wa baraza maalum la majibu ya hoja za ukaguzi wa mthibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali mwaka wa fedha unaoishia juni 30 2018,uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.

Aidha Kebwe amesema kuwa sio jambo zuri sana kwa Halmashauri iliyo Tajiri kama Halmashauri ya wilaya ya Kilombero kuendelea kuwachangisha watu maskini miradi mbalimbali.

“Hatuwezi kuwa na Halmashauri Tajiri halafu tuendelee kuchangisha watu maskini kwa miradi,”alisema mheshimiwa Kebwe kwa lengo la kuzitumia ipasavyo rasilimali zilizopo ndani ya Halmashauri ya Kilombero ili kuweza kusaidia upatikanaji wa mapato kwa urahisi.

Hatahivyo Mkuu wa Mkoa amaetoa rai kwa Hlmashauri ya wilaya ya Kilombero kuanzisha miradimipya kama vile kuwa na kiwanda cha sukari kitakachomilikiwa na Halmashauri yenyewe pamoja na kilimo, na hiyo ni kutokana na kuwepo kwa eneo kubwa ndani ya Halmashauri hiyo na sio kujikita katika soko na stendi pekeyake ili kuweza kusaidia kuboresha mfuko wa vyanzo vya mapatokwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025 July 03, 2025
  • TANGAZO LA KUTEULIWA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO WASIMAMIZI, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 October 20, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA MWAKA 2025 November 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • NAIBU KATIBU MKUU WA TAMISEMI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFYA AZURU MLIMBA DC

    November 19, 2025
  • MWANZO WA SAFARI YA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA KATI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YANZANZIBAR NA HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA

    October 23, 2025
  • TAARIFA YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WALOFANYA MTIHANI WA TAIFA 2025 MLIMBA DC

    October 23, 2025
  • MKURUGENZI MLIMBADC AFANYA MAZUNGUMZO NA TIMU YA MKOA YA USIMAMIZI WA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

    October 17, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa