Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba ilipokea na Kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika Miradi saba yenye thamani ya kiasi cha Shilingi 2,361,154,430.53 na katika Miradi hiyo mitatu ilifunguliwa, Mmoja uliwekewa jiwe la Msingi, Miwili ilionwa na Mmoja ulizinduliwa.
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru 2024 NDUGU Gofrey Eliakimu Mnzava ameelekeza kuwa kuhakikisha manunuzi ya vitu vyote vya Umma unafata mfumo wa Nest, pamoja na kuhakikisha Miradi yote iliyokaguliwa na Mwenge wa Uhuru inatoa huduma kwa wananchi na kuwa punguza changamoto za mahitaji mbalimbali.
Aidha, Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru 2024 amempongeza Halmashauri kwa Usimamizi mzuri wa ufatiliaji na utoaji wa Mikopo ya asilimia 10 kwa Vijana. @kyobyad @dc.kilombero @godwin_kunambi @jamaryidrisa @owm_tz
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa