• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Naibu waziri TAMISEMI azungumza na watendaji KDC.

Posted on: August 3rd, 2018

Pichani juu: Naibu waziri wa TAMISEMI akikagua moja ya majengo ya Halmashauri ya wilaya ya kilombero huku akipata maelekezo kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo kulia ndugu Dennis Londo, na mkuu wa wilaya ya Kilombero ndugu James Ihunyo, kulia.

Naibu waziri wa ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa Mheshimiwa Joseph Kakunda, jana jioni amekutana na watendaji na baadhi ya wafanyakazi wa kada mbalimbali wa serikali wa wilaya ya Kilombero, katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

Katika hotuba yake, mheshimiwa Kakunda amesema kuwa, watendaji wanatakiwa kuelewa kuwa, kwasasa tuna kiongozi ambae hapendi utani katika kazi, na akiamua jambao ambalo yeye kama Rais analiona lina manufaa kwa taifa basi ni lazima lifanyike, hivyo aliwasihi wafanyakazi wote wa serikali wahakikishe kuwa wanachapa kazi kwa bidii ili kuweza kuendana na kasi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Akitolea mfano suala la kuhamia Dodoma alisema kuwa, karibu awamu zote zilikuwa na mpango wa kuhamia huko ila ni awamu yake pee ndio iliyofanikiwa kuhamia Dodoma, hivyo awamu hii ni awamu ya kufanya kazi na si mchezomchezo.

Pia mheshimiwa Kakunda aliongeza kuwa sifa za watendaji na wataalamu wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero, tayari zimekwishafika wizarani na tayari kwa ufanisi huo wamekwishafikiria kuchukua baadhi ya watendaji kutoka halmashauri hiyo kwaajili ya kwenda kuleta ufanisi kwenye halmashauri nyingine.

Katika hatua nyingine alitoa agizo la mwalimu wa shule ya kapolo ambae alisemekana kupanda cheo tangu mwaka 2014 lakini alikosa stahiki zake, kuwa mwalimu huyo arudishiwe stahiki zake zote za tangu mwaka aliopewa barua ya kwanza ya kupanda cheo.

‘’Hili ni agizo, naagiza kuwa mwalimu huyu wa shule ya kapolo ambaye alipewa barua ya kupanda cheo mwaka 2014, kabla ya mabadiliko ya mwaka 2016, alipwe satahili zake zote mpaka leo, na hili nitalifatilia’’. Alisema.

Aidha kwa upande mwingine, alitembelea majengo yanayojengwa kwaajili ya ofisi mpya za Halmashauri ya wilaya ya Kilombero na ile nyingine iliyo kando mwa barabara kuu ya kuingia Ifakara mjini ya halmashauri ya Ifakara mji ambapo kote alipongeza na kusema kuwa, wote kwa ujumla wao wamefanya kazi nzuri na hivyo, waendelee na kazi hizo za serikali kwaajili ya kuleta mafanikio chanya kwa serikali.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    February 28, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA-MLIMBA

    February 08, 2025
  • MLIMBA YAPOKEA MRADI WA MIAKA 5 WA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    February 07, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa