• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Shule za Kilombero zashika nafasi nzuri ufaulu darasa la saba

Posted on: November 16th, 2018

shule za Halmashauri ya wilaya ya Kilombero zimeendelea kufanya vizuri katika mitihani ya Darasa la saba, akitoa ripoti hiyo Afisa Elimu msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero bi Witness Kimoleta amesema kuwa shule hizo zimeendelea kushika nafasi nzuri kutokana na ukweli kwamba wanashirikiana kuhakikisha hali hiyo inatokea.

Aidha Kimoleta aliwapongeza walimu kusimamia suala la makambi ya wanafunzi hao wa Drasa la saba kwani kwa kiasi kikubwa yamesaidia sana kufungua Akili za wanafunzi hao katika kutilia mkazo masomo yao.

Taarifa ifuatayo inaelezea zaidi,

Wilaya ya Kilombero ni kati ya Halmashauri tisa (9) za Mkoa wa Morogoro zilizoshiriki kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) wa mwaka 2018.  Shule za Msingi zilizoshiriki kufanya mtihani huu ni 132 kati ya hizo 130 ni za mfumo wa Kiswahili na 2  ni mfumo wa Kiingereza. Shule hizo ni Papango Eng med. iliyoko kata ya Mlimba  na Assumption Eng med iliyoko kata ya Sanje. Mtihani huu ulifanyika katika hali ya utulivu na usalama.


WLIOFANYA MTIHANI…… 7326

 

WALIOFAULU MTIHANI……6158

 

WALIOFELI MTIHANI……….1168

 

ASILIMIA YA UFAULU 2018 NI 84.06

 

ASILIMIA YA UFAULU 2017 NI 77.97

 

IMEPANDA KWA ASILIMIA 6.09

 

JEDWALI LIFUATALO LINAONESHA MPANGILIO WA UFAULU KIMKOA

NA
HALMASHAURI
IDADI YA SHULE
WALIO
JISAJILI
WALIOFA
ULU
%YA UFAULU
NAFASI KITAIFA
NAFASI
KIMKOA
2018
2017
2018
2017
1
ULANGA
  58
3026
2733
 90.7%
 16
39
  1
  2
2
MANISPAA
  89
7296
6431
 89%
 26
45
  2
  3
3
MALINYI
  35
2323
2043
88.59%
 27
38
  3
  1
4
KILOMBERO
  132
7369
6158
84.06%
 54
60
  4
  4
5
IFAKARA
  38
2710
2257
83.97%
 56
84
  5
  5
6
MVOMERO
  141
6405
4749
74.68%
 119
142
  6
  7
7
MOROGORO V
  154
5737
4171
73.51%
 128
143
  7
  8
8
GAIRO
  63
3604
2342
65.40%
 163
99
  8
  6
9
KILOSA
  162
9831
6227
63.78%
169
162
  9
  9

MKOA
872
48001
37111
77.38%
12
11



 HALI YA MATOKEO.

  • Halmashauri ya wilaya ya Kilombero imeshika nafasi ya 54 kitaifa ukilinganisha na mwaka 2017 ambapo  ilishika nafasi ya 60.
  • Aidha, Kwa mwaka 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero imeweza kufaulisha wanafunzi kwa 84 .06%  ukilinganisha  77.79%  kwa  mwaka 2017 na hivyo  hali ya ufaulu umepanda  kwa 6.27%. Matokeo haya yameifanya Wilaya kushika nafasi ya 4 Kimkoa kati ya Halmashauri 9 sawa na mwaka 2017.


SHULE KUMI BORA KIWILAYA CHINI YA WANAFUNZI. 40 

 
JINA LA SHULE
KATA
KIWILAYA
KIMKOA
KITAIFA
ZAIDI AU CHINI 40
1
Assuption
Sanje
1 KATI 41
13
 279
CHINI 40
2
Chita jkt
Chuta
2 KATI 41
19
456
CHINI 40
3
Miwangani
Sanje
3 KATI 41
25
619
ZAIDI 40
4
Mtukula
M/station
4 KATI 41
45
1125
CHINI 40
5
Msufini
mkula
5 KATI 41
52
1264
CHINI 40
6
Ngolo

6 KATI 41
55
1449
CHINI 40
7
Lyegama

7 KATI 41
59
1493
CHINI 40
8
Ngwasi

8 KATI 41
70
1815
CHINI 40
9
Ilungusha
Mngeta
9 KATI 41
84
2418
CHINI 40
10
Ikwambi

10 KATI 41
88
2511
CHINI 40

 

SHULE KUMI BORA KIWILAYA ZAIDI YA WANAFUNZI. 40

 
JINA LA SHULE
KATA
KIWILAYA
KIMKOA
KITAIFA
WANAF ZAIDI 40
1
Papango
Mlimba
1 KATI 91
6
 671
ZAIDI 40
2
Jitegemee
Mlimba
2 KATI 91
23
551
ZAIDI 40

Muungano
Kidatu
3 KATI 91
13
 279
ZAIDI 40
4
Lukolongo
Mchombe
4 KATI 91
41
785
ZAIDI 40
5
Kisawasawa
Kisaw
5 KATI 91
54
1029
ZAIDI 40
6
Kilombero
Kidatu
6 KATI 91
57
1121
ZAIDI 40
7
Darajani
Mwaya
7 KATI 91
68
1006
ZAIDI 40
8
Kihata

8 KATI 91
79
1598
ZAIDI 40
9
Mngeta
Mngeta
9 KATI 91
85
1821
ZAIDI 40
10
Vigaeni
mbingu
10 KATI 91
87
1889
ZAIDI 40


4.0 SHULE KUMI DUNI KIWILAYA ZENYE WANAFUNZI CHINI 40


JINA LA SHULE
KATA
KIWILAYA
KIMKOA
KITAIFA
 CHINI 40
1
Ipopoo
Kamwene
32 KATI 41
215
343
CHINI 40
2
Msalise
Mang’ula
33 KATI 11
240
5431
CHINI 40
3
Kadenge
kisawasawa
34 KATI 41
247
5583
CHINI 40
4
Kanolo
Kisawasawa
35 KATI 41
253
5666
CHINI 40
5
Jaribu

36 KATI 41
258
5715
CHINI 40
6
Idete crossing
Idete
37 KATI 41
264
5786
CHINI 40
7
Lyasenga
Kamwene
31 KATI 41
210
4942
CHINI 40
8
Kisiwani
I
39 KATI 41
268
5856
CHINI 40
9
Lugala
Uchindile
40 KATI 41
310
310
CHINI 40
10
Mkuyuni

41 KATI 41
312
6413
CHINI 40


SHULE KUMI DUNI KIWILAYA ZENYE WANAFUNZI ZAIDI 40


JINA LA SHULE
KATA
KIWILAYA
KIMKOA
KITAIFA
  ZAIDI 40
1
Luvirikila

82 KATI 91
408
7512
ZAIDI 40
2
Nyange
M/station
83 KATI 91
409
7544
ZAIDI 40
3
Itongowa
Mngeta
84 KATI 91
414
7702
ZAIDI 40
4
Chisano
Chisano
85 KATI 91
419
7756
ZAIDI 40
5
Mkasu
Kiberege
86 KATI 91
423
7881
ZAIDI 40
6
Kidete
Idete
87 KATI 91
429
7957
ZAIDI 40
7
Itete Miwangani

88 KATI 91
434
8237
ZAIDI 40
8
Utatala                          

89 KATI 91
452
8910
ZAIDI 40
9
Mkangawalo
 
90 KATI 91
466
9072
ZAIDI 40
10
Mwaliga

91 KATI 91
484
9510
ZAIDI 40


MPANGILIO WA NAFASI KIUFAULU KIKATA, KATA 26

NA
KATA
WALIOFANYA
WALIOFAULU
%
NAFASI
1
MLIMBA
509
494
97
1
2
SANJE
289
268
93
2
3
MCHOMBE
450
409
91
3
4
MANG’ULA B
135
123
91
3
5
MKULA
232
208
90
4
6
KIDATU
544
489
89
5
7
MANG’ULA
2O6
184
89
5
8
KISAWASAWA
188
169
89
5
9
MASAGATI
133
117
88
6
10
SIGNAL
183
161
88
6
11
M/STATION
217
188
86.6
7
12
CHING’ANDA
288
248
86
8
13
MWAYA
635
547
86
8
14
K/KERU
224
190
85
9
15
NAMWAWALA
229
191
83
10
16
MBINGU
379
311
82.05
11
17
CHITA
269
216
80
12
18
IGMA
247
193
78.1
13
19
MOFU
207
159
77
14
20
KIBEREGE
363
281
77
14
21
MNGETA
470
348
74
15
22
IDETE
205
160
78
14
23
UCHINDILE
50
67
74
15
24
UTENGULE
226
163
72
16
25
KAMWENE
342
241
70
17
26
CHISANO
97
63
65
18

5.0 MWISHO

Kwa kuhitimisha, ofisi inawasilisha taarifa hii kwa ufupi tu kama ambavyo matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi yalivyotangazwa hivi punde, Shule zote 132 zimefaulisha wanafunzi, hakuna shule ambayo haikufaulisha kabisa. Taarifa ambayo itasheheni taarifa kwa kina kama vile

  • Shule ambazo zimefikia ufaulu wa asilimia 100
  • Shule ambazo hazikufikia ufaulu wa asilimia 100
  • Shule ambazo zimeonesha jitihada katika kupandisha ufaulu kwa asilimia 89 ikiwa ni lengo la Wilaya itawasilishwa kwenye taarifa zinazofuata.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI February 24, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA JULAI 2022 August 01, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA IMEPOKEA PESA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA KUTOKA HAZINA (OC) KWA MWEZI NOVEMBA 2022 TSHS 35,294,000/= December 05, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • FEDHA ZA OC KWA MWEZI FEBRUARI 2023 TSH. 35,294,000

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA OC KWA MWEZI JANUARY TSH. 189,174.000/=

    February 07, 2023
  • MHE. DUNSTAN KYOBYA MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NAKAGURU

    February 02, 2023
  • MHE. DUNSTAN KYOBYA MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NAKAGURU

    February 02, 2023
  • Angalia zote

Video

MHE. WAKILI DUNSTANI KYOBYA AHAIDI TSH. 500,000.00/= KWA KILA MWANAFUNZI ATAKAYEPATA DIVISHENI 1.7.
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa