• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

TAARIFA YA MABADILIKO YA MAZISHI YA MH. GODFREY LWENA

Posted on: February 26th, 2018

Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, familia ya aliyekuwa Diwani wa kata ya namwawala marehemu Godfrey Lwena imetoa mabadiliko ya mazishi ya mpendwa wetu na kurudisha nyuma siku moja kutoka siku ya jumanne ya tarehe 27/2/2018 mpaka siku ya Jumatatu ya Tarehe 26/2/2018, huko huko nyumbani kwake Namwawala.

Halmashauri  inaomba radhi kwa niaba ya familia kutokana na usumbufu wa aina yoyote ile ambao utakuwa umejitokeza kutokana na badiliko hilo.

Mheshimiwa Lweno alifariki dunia usiku wa majira ya saa moja na nusu, siku ya Alhamisi ya Tarehe 22/2/2018, alipovamiwa na watu wasiojulikana na kukatwa katwa mapanga hali iliyopelekea kifo chake.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI February 24, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA JULAI 2022 August 01, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA IMEPOKEA PESA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA KUTOKA HAZINA (OC) KWA MWEZI NOVEMBA 2022 TSHS 35,294,000/= December 05, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA KAMATI YA SHEREHE WILAYA

    May 23, 2023
  • FEDHA ZA OC KWA MWEZI FEBRUARI 2023 TSH. 35,294,000

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA OC KWA MWEZI JANUARY TSH. 189,174.000/=

    February 07, 2023
  • MHE. DUNSTAN KYOBYA MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NAKAGURU

    February 02, 2023
  • Angalia zote

Video

MHE. WAKILI DUNSTANI KYOBYA AHAIDI TSH. 500,000.00/= KWA KILA MWANAFUNZI ATAKAYEPATA DIVISHENI 1.7.
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa