Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kata ya Kamwene iliyopo Halmashauriya Wilaya ya Mlimba Bw. Ipyana Mwansasu akibandika fomu za uteuzi za wagombea walioteuliwa kuwania nafasi wazi ya kiti cha Udiwani .wagombea hao na vyama vyao kwenye mabano ni Osward Antony Fumbili (ACT Wazalendo), Makyela Selevester Ngatunga(UMD) na Gervas Mbaruku Zugumbwa (CCM).Kwa majibu wa ratiba Uchaguzi utafanyika tarehe 20.03.2024 na Kampeni zitaanza kesho tarehe 05.03.2024
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa