MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA DIWANI KATA YA KAMWENE, JIMBO LA MLIMBA.
1.FFumbilo O. Antoni kutoka chama cha ACT- Wazalendo amepata kura 33
2. Zugumbwa Mbaruku kutoka cha chama cha Mapinduzi (CCM) amepata kura 1,159
na
3. Makyela Ngatunga kutoka chama cha UMD amepata Kura 9
7
Hivyo, Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kamwene Wakili Gabriel D. Kulaba amemtangaza na kumpatia Cheti cha Ushindi Mhe. Zungumbwa Mbaruku Diwani mteule kata ya Kamwene. @tumeyauchaguzi_tanzania
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa