UJENZI WA DARAJA MTO RUIPA WAKARIBIA KUKAMILIKA.
Wahandisi wa Mkoa Morogoro kutoka TARURA wanaendelea na mchakato wa kukamilisha ufungaji wa vyuma vya daraja.
Uunganishaji wa vyuma hivyo umeanza siku ya tarehe 05/042024 na unarajia kuweza kukamilika hivi karibu. Ujenzi wa Daraja hili utasaidia kuunganisha wakazi wa kijiji cha Kisegese kata ya Namwawala pamoja na kijiji cha Chiwachiwa kata ya Mbingu
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa