Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, inajenga kituo cha Afya Igima kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri. Kiasi cha Tsh. 500,000,000.00 kimetengwa kwa ajili ya Ujenzi huo. Hadi sasa ujenzi umefikia katika hatua nzuri zaidi. Jengo la Mama na Mtoto kazi ya kuwekwa kenchi imemalizika kinachosubiriwa kuwekwa bati, jengo la upasuaji wapo katika hatua ya linta, jengo la OPD pamoja na nyumba ya mtumishi wapo katika hatua za kupiga rangi.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa