Uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya Utoaji chanjo ya Surua Rubella imezinduliwa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Wakili. Gabriel D. Kulaba.
Lengo la Kampeni hii ni kuongeza kinga dhidi ya Ugonjwa wa Surua Rubella ambapo inakadiriwa kuwafikia watoto wapatao 475,550 katika Halmashauri na Kampeni hii itadumu kwa siku tatu kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 18 Februari, 2024 katika Vituo vya Afya, Zahanati na shule.
*Onesha upendo Mpeleke mwanao akachanje*
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa