• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Waziri wa Afya ashusha gharama za Afya hospitali ya mtakatifu Fransisi

Posted on: October 5th, 2018

Pichani juu: Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu (mwenye Rasta) akizungumza na mgonjwa ambaye amepewa Rufaa kwenda Hospitali ya Mtakatifu Fransisi kutoka Kituo cha Afya Kibaoni.

Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, Jinsia wazee na watoto mheshimiwa Ummy Mwalimu, mapema jana ametembelea hospitali ya St Francis na kukutana na uongozi wa hospitali hiyo, na kuwataka wapunguze gharama za huduma zao kwaajili ya wananchi wanyonge wa wilaya ya kilombero, na maeneo jirani.

Akizungumza katika kikao hicho ambacho pia kiliwashirikisha mkuu wa wilaya ya Kilombero na wakurugenzi wote Halmashauri ya wilaya ya Kilombero na ya Ifakara mji, mheshimiwa Mwalimu amesema kuwa, kuna jumla ya wafanyakazi 219 kati ya wafanyakazi 312, wa Hospitali hiyo wanalipwa mishahara na serikali kiasi cha shilingi milioni 152 kwa mwezi, huku watumishi wengine 24 wakilipwa na halmashauri mbili za Kilombero, sasa kwanini huduma imekuwa ghali kiasi wananchi wa kawaida wanatozwa kiasi kikubwa cha pesa, hususani kwa wale wanaopewa rufaa kutoka kwenye vituo vya afya vilivyopo pembezoni.

Aidha kwenye mazungumzo hayo mheshimiwa Mwalimu alisisitiza kuwa mhesimiwa Rais amehuzunishwa sana na utaratibu huo na kuitaka hospitali hiyo kufuata waraka mbalimbali zinazotolewa na serikali kwa kuzingatia utaratibu unaowekwa, kwani serikali hii ni maalum kwaajili ya kuwasaidia watanzania hususan wale wanyonge walio pembezoni.

Katika hatua nyingine Mheshimiwa Mwalimu amewaamuru watendaji kumi na mbili wanaolipiwa na Halmashauri zote mbili za Kilombero, warudi kwenye kituo cha afya Kibaoni huku akizitaka Halmashauri hizo kukaa na uongozi wa Hospitali hiyo kuweza kuweka mikakati zaidi ya kuwasaidia wananchi maeneo ya Kilombero na wale walio pembezoni.

Nae baba Askofu wa jimbo la katoliki Ifakara ndugu Merkiory Libena, amesema kuwa ameshukuru kwa Mheshimiwa waziri kuweza kutembelea hospitali yao ya Mtakatifu Fransis, na kumuomba mheshimiwa waziri afikishe salamu zao kwa mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli na kumueleza kuwa maagizo yake wameyapata na wanaanza kuyafanyia kazi mara moja ili kuweza kuendana na kasi yake, kwenye kusaidia wananchi wenye kipato cha chini kabisa nchini Tanzania.

Katika ziara hiyo Mheshimiwa Mwalimu ametembelea kituo cha Afya Kibaoni na Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Fransis kabla ya kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.

Pichani chini: Habari picha za ziara ya waziri huyo.





Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025 July 03, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA DEREVA NA MWENDESHA OFISI MLIMBA DC July 01, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI JAMARY AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    June 10, 2025
  • MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MLIMBA DC

    June 04, 2025
  • MLIMBA DC YAPOKEA VITABU 13,607 KWA AJILI YA SHULE ZAKE ZA SEKONDARI

    May 30, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPOKEZI YA VIFAA VYA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa