Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Abdallah Hamis Ulega (MB) leo tarehe 5/7/2023 amewataka wafugaji kuondoka katika Bonde la Kilombero na kuwaambia kuwa Wizara kwa kushirikiana na Mkoa wametenga eneo la Mkata Wilaya Ya Kilosa kwa ajili ya kupokea wafugaji wanaotoka Bonde la Kilombero. Pia amewataka wafugaji kufanya ufagi wa kisasa.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa