• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Mfumo wa OPRAS kuboresha ufanisi kazini

Posted on: January 24th, 2019

Katibu tawala wa Halmashauri ya  wilaya  ya Kilombero Bw.Selasela amefungua mafunzo  maaluma  ya uimalishaji wa  mfumo wa OPRAS(Open  Perfomance Result  Apraisal System) kwa wakuu wa shule za misingi na Sekondari wilayani wenye lengo la kuboresha ufanisi kazini

Mfumo huo wa OPRAS umejikita haswa katika kuwawezesha walimu kuweka  malengo ya kiutendaji kwa kada ya ualimu  unaotokana na maelekezo ya kazi ya mwalimu kama ilivyo ainishwa katika walaka  kwa maendeleo ya  utumishi  Na.1 ya  mwaka 2014 kuhusu miundo ya kiutumishi ya kada za walimu chini ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi sayansi na teknolojia

Akizungumzia katika  katika uzinduzi huo  leo tarehe 18/1/2019 katika ukumbi wa mikutano wa shule ya sekondari ya wasichana Ifakara,Selasela  amewataka walimu wajifunze kwa umakini maarifa hayo  kwa manufaa ya  walengwa ambao ni walimu na baada ya mafunzo hayo, utekelezwaji uanze kwa kuwashirikisha walimu juu ya mfumo huu kuepesha malumbano ya majukumu ili kupata ufanisi wa kazi huku akiwaka wazi kusudi la serikali katika mfumo huo wa  OPRAS  kuwa ni muhususi kwa  kuboresha taaluma nchini.

Aidha amewataka viongozi hao kuwa na nidhamu katika kutekereza majukumu yao na kuwahimuza  watumishi walio chini yao ili kuleta maendeleo ya kielimu katika halmashauri “serikali haitasita kuwachukulia hatua walimu na viongozi wazembe ,niwaombe muwe na nidhamu katika uwajibikaji ili tulete maendeleo kwenye halmashauri  yetu”amesema Bw.Selasela

Mafunzo hayo yameongozwa na afisa elimu msingi wilaya ya Kilombero Bi.Witness Kimoleta na maafisa wengine wa elimu ngazi ya wilaya,wathibiti ubora wa shule,ofisi ya tume ya utumishi wa walimu TSC na vingozi wa chama cha walimu  Tanzania  CWT wilaya.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA DEREVA NA MWENDESHA OFISI MLIMBA DC July 01, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI JAMARY AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    June 10, 2025
  • MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MLIMBA DC

    June 04, 2025
  • MLIMBA DC YAPOKEA VITABU 13,607 KWA AJILI YA SHULE ZAKE ZA SEKONDARI

    May 30, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPOKEZI YA VIFAA VYA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa