• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Shughuli/Afya

MAJUKUMU YA NGAZI YA UTAWALA

i.    Kusimamia sera na miongozo inayotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Kumshauri na kutolea ufafanuzi  masuala yote ya      kitaalam yanayohusu Idara ya Afya

ii.    Kusimamia vituo vyote vya kutolea huduma za Afya ili vitoe huduma bora zinazoendana na viwango

iii.    Kufanya ziara elekezi katika vituo vya kutolea huduma ili kutoa ushauri na kubaini changamoto mbali mbali  zilizopo na kutafuta njia za kutatua changamoto             hizo.

iv.    Kupokea maagizo mbalimbali toka ngazi za juu na kuyafanyia kazi kisha kutoa mrejesho.


MAJUKUMU YA NGAZI YA VITUO VYA AFYA

i.    Kutoa huduma za wagonjwa wa nje

ii.    Kutoa huduma za maabara

iii.    Kutoa huduma za upasuaji  mdogo na wa dharura kwa mama wajawazito

iv.    Kutoa huduma za wagonjwa wa ndani

v.    Kutoa Huduma za Afya ya uzazi

vi.    Huduma za kinga kwa magonjwa yanayoweza kukingwa

vii.    Huduma za ustawi wa jamii zikiwemo huduma kwa wazee

viii.    Kutoa huduma za Tiba,matunzo na Ushauri nasaha

ix.    Kushiriki na wananchi katika kutekeleza shughuli za Afya

x.    Kutoa rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma za kitaalam zaidi


MAJUKUMU YA NGAZI YA ZAHANATI

i.    Kutoa huduma za wagonjwa wa nje

ii.    Kuta huduma za maabara

iii.    Kutoa Huduma za Afya ya uzazi

iv.    Huduma za kinga kwa magonjwa yanayoweza kukingwa

v.    Kushiriki na wananchi katika kutekeleza shughuli za Afya

vi.    Kutoa rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma za kitaalam zaidi


MAJUKUMU YA NGAZI YA JAMII

i.    Kuhamasisha jamii katika masuala mbalimbali yanayohusu afya mfano chanjo,uzazi wa mpango,michango ya CHF

ii.    Kuhamasisha wananchi kuhusu maradhi yanayoweza kuzuilika, ili waweze kuyatambua na kutafuta mbinu za kuyadhibiti.

iii.    Uibuaji wa miradi mbalimbali ya afya katika ngazi ya jamii

iv.    Kutoa taarifa za vifo vinavyotokea kwenye jamii.









Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOFAULU NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOFAULU MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2019 HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOMBERO December 09, 2019
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • FURSA KATIKA SEKTA YA KILIMO March 27, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya wilaya ya Mlimba yakadiria bajeti yake

    January 25, 2021
  • Madiwani sikilizeni wananchi: DC Mlawa

    December 19, 2020
  • maafisa kilimo wekeni malengo

    November 27, 2020
  • Mhandisi Kalobelo azindua msimu mpya wa kilimo 2020/2021 Wilayani Mlimba ,azitaka Halmashauri kuimarisha vyama vya ushirika.

    November 27, 2020
  • Angalia zote

Video

MAKAO MAKUU KILOMBERODC KUHAMIA MNGETA
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa