Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dustan Kyobya akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mlimba Ndugu Jamary Idrisa Abdul leo tarehe 04/09/2024 amezindua Zahanati ya Mikochini katika Kata ya Namwawala. Katika hafla hiyo Mh. Mkuu wa wilaya amemshukuru Mh. Rais kwa kutoa fedha za miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa