• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

Dc Ihunyo asimamia ujenzi wa mahakama ya kiberege, kilombero

Posted on: December 21st, 2018

Mkuu wa wilaya ya Kilombero Ndg James Ihunyo, ameendelea kusimamia vyema sana ujenzi wa Mahakama ya Kilombero, kwa kuhakikisha kuwa jengo hilo linajengwa haraka iwezekanavyo kwa mujibu wa agizo la Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli.

Akizungumza na mwandishi wa Habari hii Ndg Ihunyo amekumbusha kuwa ujenzi wa Mahakama hiyo umetokana na maombi ya Ndugu Ismail Limbenga aliyomuomba Mhe. Magufuli kusaidia kuezeka mahakama hiyo kwani wananchi wa eneo hilo wanapata tabu sana kupata huduma hizo za kimahakama.

Aidha Ndg Ihunyo amesema kuwa kutokana na tathmini ya wataalam iligundulika kuwa jengo hilo si salama kwa matumizi, hivyo halikuhitaji tu kuezekwa bali kujengwa upya, hivyo alianza kufanya harakati za kupatikana kwa pesa ambazo zimeweza kujenga jengo hilo katika hali ya kisasa hadi kufikia kiwango cha kusubiri kumwagwa linta na kisha kuezekwa kama alivyoagiza Mhe. Rais.

Katika hatua nyingine, Ndg Ihunyo aliwashukuru wadau mbalimbali waliojitolea kufanikisha ujenzi huo, wakiwemo ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero ambayo imechangia vifaa mbalimbali vya ujenzi na kulipa mafundi waliojenga jengo hilo, serikali ya vijiji vitatu vinavyounda kata ya Kiberege, waliochangia matofali zaidi ya Alfu saba, uongozi wa kiwanda cha sukari Kilombero ambacho kimechangia vifaa mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni thelathini, diwani wa Kiberege aliyetoa matofali mia tano, mtendaji mkuu wa mahakama aliyetoa zadi ya miliomi tano, shule ya msingi Kiberege iliyotoa mbao kwaajili ya kuezekea pamoja na ofisi ya mkuu wa wilaya iliyochangia mifuko ya simenti mia moja pamoja na nondo 23.

Pamoja na yote hayo Ndg Ihunyo amesema kuwa kwa namna ya kipekee anamshukuru sana Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyetoa jumla ya shilingi milioni tano na kutoa agizo la ujenzi wa mahakama hiyo pamoja na kuahidi kuisimamia ili ijengwe kama kama anavyotaka, kwani bila ya yeye, mahakama hiyo isingejengwa kwa kipindi hiki.

Pia ndg Ihunyo aliwaomba wananchi kuchangia kwenye kata nyingine ili kuhakikisha kuwa, na kwenye kata hizo kunajengwa mahakama nyingine ambazo zitawasaidia watu kupata huduma hizo, kuliko kwenda maeneo ya mbali kufata huduma hiyo kwa kutumia gharama

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI February 13, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA MWEZI DESEMBA 2024 January 07, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) YA MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI MWAKA 2024 January 05, 2025
  • KIUNGANISHI (LINK) CHA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA DARASA LA NNE MWAKA 2024 January 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MLIMBA DC YAPOKEA VITABU 13,607 KWA AJILI YA SHULE ZAKE ZA SEKONDARI

    May 30, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPOKEZI YA VIFAA VYA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 29, 2025
  • TUME HURU YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MAPYA

    May 31, 2025
  • LAAC YAKAGUA MIRADI MLIMBA DC

    March 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa