Afisa mipango wa halmashauri ya wilaya Kilombero akisoma makadilio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Ndugu Ngailoka Ludwic katika kikao cha kamati ya ushauri ya wilaya kilichofanyika tarehe 26/1/2019 katika ukumbi wa Halmashauri ambapo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 imekadiriwa kupata jumla ya Tshs.38,364,804,309.00 kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa