Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba anaipongeza na kuishukuru serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 580 kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa 29 kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza Mwaka 2023.
@mlimba.dc tunasema #kaziiendelee
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa