Picha ya pamoja Mkuu wa Wilaya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya, Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Innocent Mwangasa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Bw. Jamal Idrisa Abdull na Mwanasheria wa Halmashauri Wakili Gabriel D. Kulaba. Picha hii imepigwa baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuripoti ofisi za Katibu tawala Mkoa leo tarehe 12.03.2024 na kuhudhuria kikao cha Bodi ya Barabara Mkoani Morogoro. @kyobyad @dc.kilombero @godwin_kunambi
https://www.instagram.com/p/C4auPuuIHTs/?igsh=aXlhMnpwZGZ2Zm1i
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa