Adam Kighoma Malima Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ameongoza kikao cha pili cha Maandalizi ya maadhimisho ya Maonesho ya Nanenane kanda ya Mashariki 2024.
Wakuu wa Mikoa wengine waliohudhuria kikao hiko ni Mhe. Balozi Batilda Burian Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Mhe Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Aidha Makatibu tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu tawala wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na wataalam wengine kutoka Mkoa wa Morogoro, PWANI, Dar es Salaam na Pwani ni Miongoni mwa waalikwa katika hiko kikichofanyika ukumbi wa JKT katika Viwanja vya Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa